Jaaphar Member Joined Jun 8, 2016 Posts 12 Reaction score 0 Sep 8, 2016 #1 Habari zenu wakuu, kuna swali lanitatiza nina mdogo wangu kamaliza certificate ya ualimu mwaka huu ila nasikia eti walimu wote wa msingi wanatakiwa wawe na dipolma, je kuna ukweli wowote juu ya suala hili? Msaad wakuu.
Habari zenu wakuu, kuna swali lanitatiza nina mdogo wangu kamaliza certificate ya ualimu mwaka huu ila nasikia eti walimu wote wa msingi wanatakiwa wawe na dipolma, je kuna ukweli wowote juu ya suala hili? Msaad wakuu.
Elia Joram New Member Joined Aug 27, 2016 Posts 4 Reaction score 0 Sep 8, 2016 #2 Ni kweli walimu wote wa shule ya msingi wanatakiwa wawe na diploma watatumia cheti cha certificate kusoma diploma Elimu msingi
Ni kweli walimu wote wa shule ya msingi wanatakiwa wawe na diploma watatumia cheti cha certificate kusoma diploma Elimu msingi
Jaaphar Member Joined Jun 8, 2016 Posts 12 Reaction score 0 Sep 8, 2016 Thread starter #3 Shukran mkuu kwahyo dogo inabidi akaongeze level
mwakasongoro Member Joined Aug 4, 2016 Posts 51 Reaction score 17 Sep 8, 2016 #4 Alisoma wapi wakati Mwaka huu wanaajriwa walimu wa diploma
Jaaphar Member Joined Jun 8, 2016 Posts 12 Reaction score 0 Sep 8, 2016 Thread starter #5 mwakasongoro said: Alisoma wapi wakati Mwaka huu wanaajriwa walimu wa diploma Click to expand... Alosoma Mwanza mkuu
mwakasongoro said: Alisoma wapi wakati Mwaka huu wanaajriwa walimu wa diploma Click to expand... Alosoma Mwanza mkuu
GIPAMA JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 1,103 Reaction score 543 Sep 8, 2016 #6 mwakasongoro said: Alisoma wapi wakati Mwaka huu wanaajriwa walimu wa diploma Click to expand... Wadiploma wanaanza kuhitimu mwaka kesho.
mwakasongoro said: Alisoma wapi wakati Mwaka huu wanaajriwa walimu wa diploma Click to expand... Wadiploma wanaanza kuhitimu mwaka kesho.
mwakasongoro Member Joined Aug 4, 2016 Posts 51 Reaction score 17 Sep 9, 2016 #7 Inabidi akasome diploma in primary