Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,076
- 5,872
mimi sipo huko.Na Mukulu nae ni OG (Original Gangstar)
Hapendagi mambo ya Ubishoobishoo kama Mahandsome..!
Yeye hakuchaguliwa kwa ajili ya kuja kuuza Sura na kutafuta Warembo.
Nadhani ndio roho nzuri anayoizungumzia zaidi.....Pia Mahandsome wanaongoza kwa kuwa MASHOGA
Mimi nilikuwa nalenga (nakusudia) huko huko unako wasifia Viongozi Mahandsome...[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115]mimi sipo huko.
Sio kweli mdau.Nadhani ndio roho nzuri anayoizungumzia zaidi.....
Ngoja waje.
Unishoo ni ni life style ya mtu. Wako ma hb na sio mabishoo. Yaan ni hb lakin hb mwenye akili, sio hb maonesho.Na Mukulu nae ni OG (Original Gangstar)
Hapendagi mambo ya Ubishoobishoo kama Mahandsome..!
Yeye hakuchaguliwa kwa ajili ya kuja kuuza Sura na kutafuta Warembo.
Tunakwenda na mifano Mkuu..!Unishoo ni ni life style ya mtu. Wako ma hb na sio mabishoo. Yaan ni hb lakin hb mwenye akili, sio hb maonesho.
Makonda sio handsome ni wa kawsida sana.Tunakwenda na mifano Mkuu..!
Unaweza kusema mtu kama Makonda ni moja wa Ma-hb ila Majembe..
Wataje na wengine, LeMutuuz (le Bebez) Polepole, Wasira...
Endelea..
Wengi hua wanafanikiwa na research inaonyeshe pesa zinawafuata na sio wao wanafuata pesa..Ni watu ambao hawana akili ktk maisha yao,wanafanya vitu vya kipuuzi mno.na hupenda mremk,wana tabia zinazo kinai saaana
Hata kama kwa research hauwezi kuona, hata picture yanonekana but infact kuna ukweli kabisa hata katika maisha ya kawaida sijawahi kukutana na watu aina hii wenye roho mbaya.Hii wiki wamekuwa na bahati sana hao Mahandsome yaani kila sehemu wanasifiwa tu.
Ila sidhani kama kuna uhusiano na hicho ulichokiandika.
Usijali Mkuu endelea kuamini unachokiamini ila mie kwangu ni NO.Hata kama kwa research hauwezi kuona, hata picture yanonekana but infact kuna ukweli kabisa hata katika maisha ya kawaida sijawahi kukutana na watu aina hii wenye roho mbaya.