Hivi Kuna Siri Gani Hapa Jamani?

Naomba nikuulize,anayelipa kodi ni mwenye hotel au management ambayo ndio wanofanya biashara?
 
yeah tax holidays zipo lakini sanasana kwenye EPZ..cdhan kama awa jamaa wameekeza kwenye hio sector
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…