M Mr.creative JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 492 Reaction score 117 Sep 27, 2011 #1 hi wana jf? hii wizara ya elimu mbona hawatoi maelezo yoyote kuhusu lini itaajiri walimu wapya? watu watunakaa mtaani bila kazi waseme kama vipi watu tukatafute kwingine kwa mfano walimu wa mwaka jana waliajiriwa mwaka huu,walikaa mwaka mzima mtaani
hi wana jf? hii wizara ya elimu mbona hawatoi maelezo yoyote kuhusu lini itaajiri walimu wapya? watu watunakaa mtaani bila kazi waseme kama vipi watu tukatafute kwingine kwa mfano walimu wa mwaka jana waliajiriwa mwaka huu,walikaa mwaka mzima mtaani
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Sep 27, 2011 #2 Bajeti imefika kikomo. Serikali inashughulikia kwanza swala la umeme, ajira baadae.
J Jonas jumanne New Member Joined Dec 14, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Dec 27, 2011 #3 ajira mpaka mungu akipenda,we ujaona gazeti la mwanahalisi?nenda kalime kaka