Hivi kuna nchi duniani haina Mbunge Mpinzani?

Hivi kuna nchi duniani haina Mbunge Mpinzani?

Nauliza tu kutaka kujua,kuna nchi yoyote duniani ina mfumo wa vyama vingi halafu katika bunge lao hakuna kiti alichoshinda mpinzani?
KUMBUKA :usitaje nchi zisizo na demokrasia kama Tanzânia
Tanzania
 
"Tasmania".sijui nimepatia...sitaki kupimwa mkojo!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Tanzania wapo wawili tayari na bado watakuja wengine kwenye vitu maalum kama watakidhi vigezo na masharti bila kukatazwa na viongozi wa chama
 
Back
Top Bottom