NajuaKusoma
Member
- May 8, 2017
- 81
- 60
Mi hua nawaskia hawa jamaa kupitia misemo yao ila sijawahi kuwaona!!!
wahenga walinena chanda chema huvikwa Pete,, dah walikuwa na maneno matamuMi hunnawaskia hawa jamaa kupitia misemo yao ila sijawahi kuwaona!!!
Wahenga walisema: Mwenye Hekima hukaa kmya.Mi hua nawaskia hawa jamaa kupitia misemo yao ila sijawahi kuwaona!!!
Kweli wewe ni tajirimsomi.
wahenga walinena chanda chema huvikwa Pete,, dah walikuwa na maneno matamu
Mi hua nawaskia hawa jamaa kupitia misemo yao ila sijawahi kuwaona!!!
AiseeehMi nnayo ila imenipotea