Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,179
- 7,095
Ndugu zangu nimetizama movie nyingi sana kali, ila hii Apocalypto 2006 ni bonge la movie.
Jiwe masaa mawili mda wote kazi tuUlishaangalia Mad Max: Fury Road
Wazee wa amsha amsha !! Masaa mawili washkaji wako kwenye mwendo !Ulishaangalia Mad Max: Fury Road
Inazungumzia nini hiyoUlishaangalia Mad Max: Fury Road
Mi nimeangalia hadi nimechokaOne of the best, sichoki kuiangalia
Me too.hawamu nyingine tuangalie woteOne of the best, sichoki kuiangalia
Hicho chuma kimechezwa bwana. Mimi kwangu ndio the best na huwa sichoki kuiangalia. Kwanza ngoja niiangalie mda huu tena.Wazee wa amsha amsha !! Masaa mawili washkaji wako kwenye mwendo !
Sawa ni movie kali sijabisha,ila kuna mawe mengi makali Zaid yake, Hollywood bwana ina mawe yakutoshaHicho chuma kimechezwa bwana. Mimi kwangu ndio the best na huwa sichoki kuiangalia. Kwanza ngoja niiangalie mda huu tena.
Ni movie kali ya action/adventure siwezi kukuelezea kwa ufupi ukaielewa vizuri. Ili uelewe inabidi niandike gazeti.Inazungumzia nini hiyo
Ni kweli mkuu kwakuwa watu tunatofautiana taste. Kuna series huwa sizielewi ila kuna watu huwaambii kitu. Mimi ninazozielewa kuna watu hawazielewi. So ni kawaida.Sawa ni movie kali sijabisha,ila kuna mawe mengi makali Zaid yake, Hollywood bwana ina mawe yakutosha
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ipo ya DP World
Hahaha.............I wish iwe kesho 🙈🏃🏃Me too.hawamu nyingine tuangalie wote