Poleni sana mkuu. Inawezekana kuna marekebisho yanafanyika. Hata maeneo kadhaa ya Dar umeme huwa unakatika mara kwa mara, lakini sio kwa muda mrefu kwa kiasi hicho ulichoeleza hapo awali.Kanda ya kati Mkuu
Acha uhuni kanda ya kati ndo wapi? Dodoma au singidaKanda ya kati Mkuu
Poleni sana mkuu. Inawezekana kuna marekebisho yanafanyika. Hata maeneo kadhaa ya Dar umeme huwa unakatika mara kwa mara, lakini sio kwa muda mrefu kwa kiasi hicho ulichoeleza hapo awali.
Je kuna uhusiano gani na marekebisho ya baraza la mawaziri mkuu?Mkuu sidhani kama kuna marekebisho, maana kila siku the same time Umeme unakatika na kururdi at the same time.
Seriously tangu marekebisha ya Baraza la Mawaziri yafanyike na haka kamchezo ndo kameanza hadi Leo hii.
Huku Mtwara ndo balaa. Unakatika kila maraKwenu wapi mkuu?
Poleni sana mkuu.Huku Mtwara ndo balaa. Unakatika kila mara
Ni balaaa. Mpaka unatamani siku ziishe urudi mjini Kibaha uendelee na issues nyingine. Ndo mwanzo wa kupoteza wateja kwa sisi Technicians wa kujitegemeaPoleni sana mkuu.
Ukosefu wa umeme unasababisha usumbufu mkubwa sana katika kila sekta mkuu. Pole na hizo changamoto.Ni balaaa. Mpaka unatamani siku ziishe urudi mjini Kibaha uendelee na issues nyingine. Ndo mwanzo wa kupoteza wateja kwa sisi Technicians wa kujitegemea