Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,179
Kubwa linalokera wengi ni watu kujisaidia haja ndogo sehemu ya ufukwe ambapo watu huoshea samaki na wengine kuchota maji kwa matumizi hayo.
Huu umeshakuwa utamaduni, ukienda pale ufukwe wa soko utaona hapa mtu anaosha samaki kwenye tenga pembeni yake watu wana jisaidia haja ndogo, na mwingine anachota maji.
Bado sijaelewa kama Menejimenti ipo na inalichuliaje suala hili.
Vyombo vya habari mnaweza kutengeneza footage kuhusu suala hili.