G M S JF-Expert Member Mar 30, 2011 502 53 Mar 7, 2012 #1 Wadau kwenye frige hapa nyumbani tunatumia makopo ya maji ya kawaida haya ya lita moja na nusu ndio huwa tunahifadhia maji lakini kadri siku zinavyoenda makopo mengi huwa yanabadilika na kuwa na rang kama ya udongo hv je hapa kuna mechanism gani?
Wadau kwenye frige hapa nyumbani tunatumia makopo ya maji ya kawaida haya ya lita moja na nusu ndio huwa tunahifadhia maji lakini kadri siku zinavyoenda makopo mengi huwa yanabadilika na kuwa na rang kama ya udongo hv je hapa kuna mechanism gani?
M masssaiboi JF-Expert Member Feb 10, 2009 636 132 Mar 7, 2012 #2 BACTERIA!!!!!!?? mnakunywa sumu kama hamjui. Either fridge yenu haina ubaridi wa kutosha au hamsafishi makopo yenu vizuri.
BACTERIA!!!!!!?? mnakunywa sumu kama hamjui. Either fridge yenu haina ubaridi wa kutosha au hamsafishi makopo yenu vizuri.