Hivi kuna marriage counsellors bongo?

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,729
Wadau hivi kuna professional marriage counselors au relationship counsellors bongo?
Na je mwenye experience na hivi vitu anajua kuwa kama hawa counselors ni effective ku rekebisha mahusiano?
 
Ndio wapo chini ya marriage reconsoliation bodies. Kwa maelezo zaidi tafuta 'THE LAW OF MARRIAGE ACT, cap 1971 revised 2002. Zinapatikana ktk maduka/maktaba za serekali. Or ingia google utapewa mpango mzima.
 
Wadau hivi kuna professional marriage counselors au relationship counsellors bongo?
Na je mwenye experience na hivi vitu anajua kuwa kama hawa counselors ni effective ku rekebisha mahusiano?
yes tupo kibao!
 
Yap wapo wengi sana ni ww tu na dau lako. Anza na hawa hapa Wellness Service Tanzaniaplot 1349 Haile Selassie RdBox 23340Darwww.wellnessservicestz.com
 
Wapo shida watu think of marriage counsellors ikifika mda wa divorce tu, ambayo ni lazima uende, ingekuwa vizuri kwenda mara unapoona shida katika ndoa yenu na mnashindwa kuelewana but Watanzania hatuna uzoea huo, tunaona kama a sign of weakness which should not be the case.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…