Hivi kuna mapenzi siku hizi?

odamae

Senior Member
Nov 5, 2020
163
291
Leo kuna rafiki angu nilimsikia akiongea kwenye simu na mtu flani ana mpango wa kumfanyia mchumba alienae madawa ili amuoe, lakini sio ili tu kuna rafiki angu flani nae aliachwa alikuwa na maumivu ya mapenzi sana akanambia ana hitaji kwenda kwa ostadhi asome dua kwaajili ya kumrudisha mpenzi huyo. Nauliza tena hivi mapenzi yapo au kumebaki kulogana?

Watu wanatumia madawa waolewe we unadhani effect gani zinaweza tokea.
 
Kila nikipost inaji attach hii moderate staki kabisa ana kazi ya kufuta nyuzi zangu kila siku nikipost.
 

Wanaweke % kubwa ni wateja wa waganga wa kienyeji na wazee wa upako na manabii.
 
Sasa kuroga ili kumrudisha mpenzi na kusoma albadili ili mpenzi arudi manake ni kupambAnia penzi kwa Udi na Uvumba na hiyo ndo maana ya MAPENZI
Kwahiyo wanaofanya hvyo wapo sahihi tu
 
Mapenzi - ni kufanya mapenzi tu,
Labda uliza kama kuna Upendo wa Dhati/kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…