Cute Cindy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 211
- 591
ni sahihi kabisaa tena umalaya mavi ule wa kujiuza buku bukuumbea hauna toafauti na umalaya
Kuna level za umaskini lakin japokua Uzi wako haujakaa kimtelezo(unapiga chenga) kuna mtu akikosa hela anatembelea tako la nyani hili hili ambalo ndo wanaojiona wana hela wanatuburuzia nalo mitaaniNasikia Kuna kipindi yule mwarabu anaitwa lukasi mishuka ya gesti na nansi misumari baada ya kuoana walikuwa wanakosa hata hela ya kula..na the late bwana machache/mume wa k nitaipata lini ndo alikuwa anawaweka mjini (anawapa hela ya kula) ukiingia insta Leo kwenye peji ya nansii misumari huwez amini kuwa hawa watu juzi juzi walikuwa wanakosaga hata hela ya kula jins wanavopost Mara Leo wko London kesho wako Paris, maselfie kwenye ndege etc
Ijulikane kuwa nansii misumari ni shost ake mke wa the late machache/k ntaipata lini
Nasikia Kuna kipindi yule mwarabu anaitwa lukasi mishuka ya gesti na nansi misumari baada ya kuoana walikuwa wanakosa hata hela ya kula..na the late bwana machache/mume wa k nitaipata lini ndo alikuwa anawaweka mjini (anawapa hela ya kula) ukiingia insta Leo kwenye peji ya nansii misumari huwez amini kuwa hawa watu juzi juzi walikuwa wanakosaga hata hela ya kula jins wanavopost Mara Leo wko London kesho wako Paris, maselfie kwenye ndege etc
Ijulikane kuwa nansii misumari ni shost ake mke wa the late machache/k ntaipata lini
Ni juhudi za awamu ya tano.Kwa Tanzania sijawahi kusikia watu wamekufa sababu wamekosa hela ya kula.
Tunaishukuru sana serikali ya awamu ya tano Chini ya jeipiemuNi juhudi za awamu ya tano.
picha zao, wengine hatuwajui tupo nje ya nchiLukas wakati anafunga Ndoa na Nancy Sumary alikuwa Managing Director wa Bandari kavu inayoitwa DAR ES SALAAM INLAND CONTAINER DEPOT (DICD) sasa sijui kwa nafasi hiyo alikuwa anakosaje hela ya kula.