Hivi kuna jipya kutoka kwa Rais Magufuli?

Ajira amefeli
Mafisadi amefeli
Ahadi ya viwanda ashaanza kufeli
Kilimo kafeli
Digitali kafeli
Ana jipya gani kwa mfano?
Kipi cha zaidi?
Hana jipya wala lolote na hatadumu miaka mitano kwa hali hii
Amefanikiwa kuidhibiti njaa nchini. Ni mafaniko ya kupigiwa mfano na kuigwa.
 
Back
Top Bottom