Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
Nataka nijikusanye niishushe!! Angalia tutorials zake!! Nimeipenda sana mkuu!Nilijaribu kuitumia ila haikunipa good response maybe ni kwa sababu ni mara ya kwanza na sijaizoea
Mkuu lazima kuijia css na html ili kutengeneza kitu tofauti na wenzio. Ili ifanye custom changes lazima ujue css, javascript, na html. Vinginevyo siku moja utakuja kukwama kutengeneza kitu chenye features flani special for specific purpose and look.Wadau kama kichwa habari kinavyosema!
Katika pita pita mtandaoni nimekutana na hii kitu inaitwa bootstrap studio! Yani una drag na ku drop items then unajipatia website yako murua kabisa!!
Je kuna haja ya kujifunza au kutumia html na css?? Vipi bado wordpress itakua na nguvu tena???
Naona wazungu wameamua kurahisisha front end development!!
Anachoongea huyu mleta thread ni bootstrap studio na sio bootstrap ile ya twitterYaa ipo haja ya kujua kwanza css na html ukielewa vizuri itakua rahisi kutumia bootstrap. Bootstrap unacheza tu na class, div, span kama unajua zinafanya mchezo umeisha na utapata responsive web.
Ilinizingua sehemu ukitaka kutumia glyphicon ilikuwa haikubali nikatemana nayoNataka nijikusanye niishushe!! Angalia tutorials zake!! Nimeipenda sana mkuu!
Css na html ni lazima. Tools kama hiyo bootstrap( ingawa sijawahi kuitumia) hiyo ni layman way of making a webpage/site.Wadau kama kichwa habari kinavyosema!
Katika pita pita mtandaoni nimekutana na hii kitu inaitwa bootstrap studio! Yani una drag na ku drop items then unajipatia website yako murua kabisa!!
Je kuna haja ya kujifunza au kutumia html na css?? Vipi bado wordpress itakua na nguvu tena???
Naona wazungu wameamua kurahisisha front end development!!
Html inaweza kuwa muhimu ila java sio kiivo kwenye web dev especially kwa front endYes, ni muhimu kujua html, java nk
Html inaweza kuwa muhimu ila java sio kiivo kwenye web dev especially kwa front end