mida ya saa saba nilipita maeneo ya shule fulani nikakuta wakimshangilia kwa kumkamata mwanafunzi aliyedoji mtihani, akampeleka hadi shuleni na hapo akamlima mwanafunzi ishirini akaahidi atarudi kesho tena ili huyo mwanafunzi amalize dozi ya fimbo sabini.
net iko chini ila najitahidi kuweka video fupi pamoja na picha huyo jamaa anayejiita mzee wa sabini.