Hivi kumchapa mtu mzma ni sawa?

Hivi kumchapa mtu mzma ni sawa?

Mr. madevu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
432
Reaction score
75
Huku kwetu kuna mtu anaitwa mzee wa sabini. Kazi ya huyu bwana nikuwaadhibu watu kama vile akina dada waliovalia mavazi yaliyowabana maumbile yao pamoja na vijana wanaotoa matusi hovyo. Akikukamata anakuchapa viboko sabini bila huruma. Hivi hii ni haki?
 
siku wakiungana wakamgeuzia kibao ndo atakapojuta kuzaliwa.
 
Tuwekee picha yake kama vipi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mida ya saa saba nilipita maeneo ya shule fulani nikakuta wakimshangilia kwa kumkamata mwanafunzi aliyedoji mtihani, akampeleka hadi shuleni na hapo akamlima mwanafunzi ishirini akaahidi atarudi kesho tena ili huyo mwanafunzi amalize dozi ya fimbo sabini.
net iko chini ila najitahidi kuweka video fupi pamoja na picha huyo jamaa anayejiita mzee wa sabini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom