God is Dead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,313
- 1,529
Kumbe Mungu ni neno la kisasa lenye muunganiko wa Macho Masikio pua ngozi na ulimi
Bila kusahau Pumzi, yenye muunganiko wa pua ulimi na ngozi
Mama je, wasawahili wanasema ni muunganiko wa Macho na Masikio
Ninampongeza jamaa kwa kujificha, ila leo amepatikana, msalimie Shaban Robert
Wako mpendwa Faki, Fahamu mamlaka kabila hisia