Hivi kumbe jf kuna mapunga kibao!

Status
Not open for further replies.
Huu ni umbea sasa, kama umeweza kuwabaini kwanini usiwataje na majina tu ili tujue sasa itakua haina maana kama ni hivi.

Madai yako ni kuwa hakuna mapunga humu au majina?
 
Unajua punga linatambua mapunga wenzake, wewe ni punga unajitangaza kiaina,
 
Aiseee!!!

Ila in short wapo watoto wa watu ambao huwa wanajitambulisha kabisa humu...

Ukitaka kuwaon we weka uzi wa kuwakandia...
 
Aiseee!!!

Ila in short wapo watoto wa watu ambao huwa wanajitambulisha kabisa humu...

Ukitaka kuwaon we weka uzi wa kuwakandia...


Juzi niliandika uzi kujaribu kuwaonya watu kwamba kutumia jina bandia haina maana haufahamiki, watu walikuja juu sana mpaka uzi ukafutwa.
 
Hebu taja majina tuwajue hao mapunga
 

Wapo kibao tu kuna mmoja kapost kuhusu Hamisa Mobeto yaani yule anachambua kipunga punga kabisa halafu anadai yeye ni mwanaume.
 
Hebu taja majina tuwajue hao mapunga

Kama wewe ni mwanaume, lakini unafanya mambo ya kike katika mazingira ambayo unaamini hujulikani, mimi nikikuuta shoga nitakuwa nimekosea?
 
Hivi warumi ni mwanamke au mwanaume???
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…