Hivi kumbe jf kuna mapunga kibao!

Status
Not open for further replies.

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Kuna mapunga wa kutosha humu jf, hasa mmu, Lifehacker nimebaini. Wengi bila woga hata aibu wanapost topics zinazoashiria kuwa wao ni wanawake, wameweka avatar za kike, wanatumia majina ya kike, wanajipambanua kama wanawake, ni ajabu hata siamini. Mbaya zaidi kuna ambao ni watu wazima kwa umri.

Kweli binadamu amefikia mahala pabaya sana.

Ushauri wangu, jioneeni aibu, acheni huu uzandiki!
 
Haaaaaaa haaaaaa haaaaaaah...? Oiiii kama yamoto band.... Semaaaa tuu brada mwaga mchele waelewe hao makaka poa
 
mkuu wataje kwa majina vinginevyo itakuwa umbea kwani unaogopa nini..?

Hawatakubali, watasema nawachafua. Mashoga wengi hata uraiani wanagoma kunyooshewa kidole, sembuse humu hata hamuwaoni. Najua nikitaja italeta vita na thread itafutwa.
 
Halafu ikawaje ndio ukome kutongoza tongozaa
 
wavumilieni tuu wakikua wataacha hata kaka zao walikuwa mapunga hivyohivyo watu tumetwanga hadi tumeacha
 
Threads zangu zote zinazokuja na data na kutaja watu majina huwa zinafungwa na haraka sana. Acha wanajijua.

Huu ni umbea sasa, kama umeweza kuwabaini kwanini usiwataje na majina tu ili tujue sasa itakua haina maana kama ni hivi.
 
Bora utembee na wanawake wote wa MMU kuliko kuwa shoga, noma sana.
 
Kumbe ndio maana kuna baadhi ya watu wakiniquote basi siku hiyo sipati hata mia siku nzima...inawezekana yakawa mapunga....
 
Lol haya majitu yanakera kuna siku niko zangu rose garden nakunywa polepole eti likaja limoja bila aibu eti nilinunulie bia nkaliambia " nafanya dhambi nyingi lakin si hiyo na moton we utakua kuni za kuchomea wenzio " mwenzenu usiku ule nliuona mchungu... Matusi kama mvua ya mawe jaman
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…