Hivi kumbe anapendwae!!!

Hivi kumbe anapendwae!!!

Ranks

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,583
Reaction score
1,098
images-252.jpeg
 
Wapo wanao mpenda, ila sidhani kama kura zita tosha
*naongea kama shabiki wake pia
 
ila jamaa linajua kujimix ha ha ha
 
Trump sio mtu wa kumuunderstimate la sivyo atakushinda ndio maana kila njia inatumika kummaliza before hata uchaguzi,
 
kuna mkweli na mnafki
trump ni mkweli ila hilary ni mnafk toka enz akiwa wazri na enz mumewe akiwa rais
ngoz ya kondoo ndani chui

mengi kuhusu trump muulizeni wakazi maana kafanya kazi kwenye hotel yake wakati anaish USA
 
Sera zake za ubaguzi kwa wahamiaji hasa wamexico,waislamu na waafrica zinapendwa sana na wazungu wahafidhina. Na wapo.wengi sana tu.

hivyo yes kuna watu huwaambii kitu kuhusu TRUMP
 
Sera zake za ubaguzi kwa wahamiaji hasa wamexico,waislamu na waafrica zinapendwa sana na wazungu wahafidhina. Na wapo.wengi sana tu.

hivyo yes kuna watu huwaambii kitu kuhusu TRUMP
images-343.jpeg
 
Simpendi huyu jamaa, ila anaweza kuwa tiba kuangamiza ugaidi ambao ni tishio kwa dunia. Ni UGAIDI na UHARIBIFU wa mazingira tu ambavyo vinaweza kuimaliza dunia.
Magaidi wakipata access ya nuclear weapons the planet earth will be destroyed within a fraction of a single minute. Trump ana nafasi kwa wakati huu.
 
Hata Idd Amini alikuwa na wafuasi kama ilivyo pia kwa Lipumba, huwa hawakosekani kabisa
 
Umewaskia lakini mastaa wengine ndani ya republican?
Wamemshkia ..........
images-539.jpeg

cc.Ramea.
 
Back
Top Bottom