hivi kujikojolea hasa usiku kunatokana na nini

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,070
253
wanajamii naomba kujua hivi mtu anakuwa kikojozi kutokana na nini maana kuna watu wana tabia ya kukojoa vitandani hasa watoto kuanzia udogo mpaka level ya primary ama secondary school bahati mbaya sina taarifa kama wanandoa pia wana tabia za kujikojolea kitandani kipindi wanapokuwa wamelala fofofo!sasa nataka kujua tabia hii mara nyingi huwa inasababishwa na nini na dawa yake ni nini ingawa zamani ilikuwa wanatembezwa mitaani na kuimbiwa nyimbo za kikojozi huyo na nguo kaitia moto unaimbiwa huku umefungwa makopo na magunia ila kwa sasa nadhani hakiza binadamu zimechukua nafasi ndio maana hakuna kuimbiwa wala kufungwa makopo!kwa yeyote anayejua hapa jamvini naomba ufafanuzi juu ya hili linatokana na nini na dawa yake ni nini ili mtu aache kujikojolea!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom