Hivi kuhalalisha gongo na kuhalalisha ufisadi ni mpango gani utajenga nchi?

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,372
1,500
Tuache unafiki ndugu watanzania,gongo inatumika sana tu na watanzania kiasi kwamba kama itatengenezwa kitaalamu kwa usimamizi wa mkemia mkuu,serikali itainua uwezo wa kukusanya mapato.Sasa upande wa pili kama serikali ina halalisha ufisadi hapa nchini,basi tutarajie kushuka kwa maadili kama si kuporomoka.JE,LIPI NI WAZO KWA USTAWI WA TANZANIA?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom