Hivi Kilango ni nani?


wewe sasa ivi babu yako na bibi yako wakizaa utafurahi?
 

kiliachwa kwa umalaya na mzee mmoja anaitwa Charles Nyange km sijakosea.
 
acha kuudanganya umma.huu ni uongo mkubwa
Inaonekana unamjua sana huyu mama mpambanaji kama anvyojiita, kwanini usitoe wasifu wake mzuri ili wote unawaona wazushi wakae kimya?
 
Inaonekana unamjua sana huyu mama mpambanaji kama anvyojiita, kwanini usitoe wasifu wake mzuri ili wote unawaona wazushi wakae kimya?

anatetea asichokijua, kazi kukosoa toa, mimi ni mpiga kura wake japo sikumchagua yeye, kura yangu nilimpa mama kaboyoka CDM.
 
Inaonekana unamjua sana huyu mama mpambanaji kama anvyojiita, kwanini usitoe wasifu wake mzuri ili wote unawaona wazushi wakae kimya?
nenda kasome post namba 28
mkuu amini hivyo, alikuwa kaolewa na mzee NYANGE wakaachana, asaiv ni maadui wakubwa japo watoto wanawaunganisha.
watu wakiachana inamaanisha kuwa mwanamke ndio anakuwaga malaya? kwa nini isiwe virse versa? acha ushabiki hapa
anatetea asichokijua, kazi kukosoa toa, mimi ni mpiga kura wake japo sikumchagua yeye, kura yangu nilimpa mama kaboyoka CDM.
heicho udunganya iti ureho mwenye aha?Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! changia JF


Kiraka umepata jibu?
any more qns?
 
heicho udunganya iti ureho mwenye aha? ficha upumbavu wako changia JF


teh teh teh!!! haya avae,
 
.. kuingia kwenye SIASA kwa kutumia migongo ya wanaume...Aliwahi kuwa na mapenzi ya kingono na Kitwana Kondo lengo likiwa atumie
Hii naona haijakanushwa, kumbe Anna Kilango alimpa raha Kitwana Kondo? Ina maana lile beef la Anna na Sophia ni love triangle au? Maana Sophia nae keshabanwa mbavu na Kitwana Kondo wakati huo Kitwana Kondo ana mke. Duu, ukiweka na Malecela hapo ni inakuwa love pentagon, triangle haitoshi.
 

sipendi watu waongo na wazushi hata nikikuambia uthibitishe haya maneno yako hutoweza, unajaribu tu kuunganisha dots, kitu ambacho hakina mantiki na tija yoyote, mtu asipokuwa kwenye chama chako kwa nini unamponda?
Tumia utu na jaribu kushirikisha ubongo wako na mikono yako wakati wa ku type, vipe hivi vitu ushirikiano.na watu watathamini mchango wako kijana.
 

mkuu lazima ww umfuasi wake mzuri, nimecheki jinsi ulivyomtetea kweli napata shaka, na huyu mama kwenye jimbo lake anapenda zaidi na watu wa milimani kama MAMBA MIAMBA, IVUGA, na kwingineko, lakini hapo nyumbani kwao KIHURIO na maeneo mengine ya tambarare hawamtaki kabisa huyu mama.
 

kwa taarifa yako mimi sitokei hayo maeneo na sasa ivi updates ni kuwa huyu mama sasa hivi hakubaliki baada ya kuwadanganya watu kuhusu kiwanda cha Tangawizi,kwa nini chadema hawajajijenga vizuri kwenye hili jimbo maskini sana kuliko yote Tanzania?usafiri chali, shule zote chali .....ni kweli huyu mama hajafanya chochote cha maana lakini wamuweke nana sasa? mimi ninachopinga hapa ni huku kumshambulia matusi ya nguoni
 

nafikiri sasa nimekuelewa, niliingia mkenge kumshambulia chumbani: ni jimbo lenye wasomi wengi na hapo kwenye red mkuu sio kweli, mama Kaboyoka alishindwa mbinu tu na huyu mama lakini mama Kaboyoka wa CDM anapendwa na wengi, yule bwana wa APPT_ Maendeleo ubinafsi ndo utamuua kisiasa, amejaribu mara nyingi kashindwa hadi akaamua kugombea urais japo kajitahd hadi kuwa nafasi ya 4.
 
hapo kwenye red hapo now ya talking like a great thinker
dk. Peter Kuga Mziray ni kweli yule jamaa ubinafsi ndio utammaliza /ulimmaliza na alishika nafasi ya nne kitaifa kwa sababu kwenye karatasi ya kupigia kura jina lake ndio lilikuwa la kwanza kama sikosei.na kama sio la mwisho unaweza kuniambia kuna kitu gani ccha kujivunia pale? kuna barabara yoyote nzuri katika lile jimbo? hawana mmbunge hawa na nina uhakika wanaendelea kuichagua ccm kwa sababu ya lack of information na hawajui what is going on around Tanzania na hawajajua kuwa nia haki yao kupata maendeleo

 
Originally Posted by Mwafrika wa Kike

Mama Malecela,

I have seen and read about the anger and hatred that mafisadi in Tanzania are constantly making to getting into what you do in the parliament. I have just got a complete picture of how Serukamba and his sore losers tried to demonize you and your work in the last ccm NEC. It has been leaked to me that mafisadi in the ruling party are planning a hit job on you. It has (by the name of who... I dunno) just been handed to me - a confidential but crazy plan to wipe out your political career.

Mama Malecela, this is just the time for you to know that I (and everybody I know) am with you on everything you do. Your work is outstanding and our country is very proud to have you mama. We all love you and are constantly praying for you.

This is for you Mama Anne Kilango Malecela.
May GOD and all the gods bless your work and protect your soul.

Amen!
 
Kilango ni mwanamke jasiri nina imani hakuna mbunge mwanamke ambaye anafanya anayoyafanya kilango same mashariki. sio kama masista duu kama vicky kamata,ester bulaya au wamaza kama ritha mlaki nk. mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Jimboni kwake amefanya mazuri tena mazuri kuliko hata Mohd Dewji na fedha zake,rostam na fedha zake,Shukuru kawambwa na kiherehere chake, yaani ni HOT SPEAR OF THE MAFISADI. Pia ni mshirikishaji wa wananchi katika kujitafutia maendeleo. Nenda same mashariki ipo juu kuliko hata same magharibi yenye makao makuu ya wilaya.
 
Wewe unaongea pumba , pale same kila mtu anapajua , kuna kitu gani cha kujivunia pale? acha kuleta ushabiki hapa ongea ukweli wako kijana, kuanzia matokea ya secondari zao pale hasa za milimanni matokea yao ni chali.. barabara ndio kabisa hakuna kitu .. mradi wa kulima mpunga ndio umekufa wananchi wengi wao wanakimbia wanaenda mjini .hizi porojo zako hazina mantiki
 

haya yashapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…