Hivi kila mwanafunzi wa UDOM ni CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kila mwanafunzi wa UDOM ni CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by njoro, Dec 22, 2010.

 1. njoro

  njoro Senior Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaJF naomba tusiwe washabiki na kama mtu una statistics uziwasilishe,ni wanafunzi wangap walimchangia JK hela za kuchukua fomu pale dom,
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hakuna haja ya statistics jibu ni YES
   
 3. njoro

  njoro Senior Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wale wale,huna hoja,jitoe JF
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nimekugongea thanks kwa uelewa mdog

  Hii haitaji machinga kuingia chuo pole sana  The Following User Says Thank You to njoro For This Useful Post:

  King of Kings (Today) ​
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,923
  Trophy Points: 280
  silence means yes, hakuna hata mmoja aliyewai kupinga ili
   
 6. L

  Lapton2005 Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unazungumza kuhusu takwimu, huna kumbukumbu. 2005-2010 chuo kimeshamiri na pongezi nyingi zilitolewa kwa silikali iliyopo. Mpaka hapo hujui kinachoendelea ni nini!
   
 7. njoro

  njoro Senior Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeuliza huko UDOM kwanini?
   
 8. njoro

  njoro Senior Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  argument yako hai-hold water tupa kule
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hakuna hoja ya msingi hapa.UDOM ni wapiganaji na kimsingi ile hela ilitolewa na mtu fulani and then akawa2mia wanafunzi wa UDOM wachache wahuni na wasiojua wanafanya nini...BRAVO UDOM
   
 10. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  Hiki ni chuo cha CCM hacha kuleta mada za kitoto na kutuuzia chai hapa
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Samaki mmoja akioza ..................
   
 12. B

  Baba Tina Senior Member

  #12
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  upuuzi huo nani kakwambia wanafunzi wote UDOM ni ccm. Wewe kwa akili yako unafikiri hilo linawezekana////
   
 13. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  LINAWEZEKANA KWA KUCHAKACHUA:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
   
 14. njoro

  njoro Senior Member

  #14
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante
   
 15. njoro

  njoro Senior Member

  #15
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siasa haziruhusiwi chuoni,ni sheria ktk taasisi ya elimu ya juu nchini.
   
 16. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Naomba wadau tuwaombee wana UDOM ili wawe professional. Wawe wanafikiria mambo siyo kufuata mkumbo. msomi lazima uonyeshe kuwa unaelewa na unaweza
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  kila aliye mwanachama wa ccm alichanga sh 3000/= kwahiyo chukua milln 1 gawanya kwa elf 3. Utapata idadi ya wanafunzi wa ccm udom.
   
 18. njoro

  njoro Senior Member

  #18
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unashindwa kugundua kwamba UDOM inachakachuliwa ili ionekane ni chuo cha CCM,basi we sio great thinker hata kdogo,.CCM inachukiwa na vijana,wasomi nchi nzima,.huwezi kuniambia vijana wasomi wa UDOM wanishi kisiwani,kwamba hawaelewi vuguvugu la mabadiliko linaloendelea nchi nzima,.WANAJF DON'T ALLOW YOUR FEELINGS GET THE BETTER OF YOUR HEAD.
   
 19. njoro

  njoro Senior Member

  #19
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  una evidence?je kama ni kigogo alitoa hvyo vijisenti akawanunua vijana wachache wajitokeze wadai wao ndo UDOM nzima?fanyen utafiti kabla ya kuja na non-sense.
   
 20. njoro

  njoro Senior Member

  #20
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we ni kilaza kweli,u allow ur hate feelings get the better of ur stupid head,.unashndwa kuelewa zile ni propaganda,
   
Loading...