ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,830
Siri yao ni nzito sana. MANAKE wanajua kama moto upo huko au haupo.Hakuna mwenye majibu timilifu kuhusu siri ya kifo.
Hii ni kwa sababu hatuna uwezo wa hiari wa kwenda upande wa pili na kurudi na majibu kamili. Vivyo hivyo kwa wafu.

