wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,342
Hakuna msimu ambao wanawake wamekuwa cheap kuwapata kama awamu hii ya magu, hao unaowaongelea sijui ni wa sayari gani mzee
Dah MUNGU hapendi..Yaani wanaume bhana! Mkionewa huruma bado hamna shukurani mnaishia kuwaita hao hao wanawake malaya ni bora mnyimwe tu!
Wanawake! Wanawake! Wanawake!
Mmekuaje siku hizi mpaka tunatumia nguvu kubwa Sana kuwapata bila mafanikio?! Mnajivunia Nini siku hizi?
Unamtongoza mdada anakuzungusha wee
Mara aseme una tabia mbaya eti kisa umemtongoza! Acheni hivo bn.
Akiona amekuzungusha sana anaamua kukubali kinafki ila kupata mzigo inakua kibarua kingine, atakuzungusha mpaka utahisi huenda labda Hana unachokiomba.
Mwingine akikupa contact sahau kujibiwa/ kupokelewa sim zako ( hapa wazee wa kufuta namba wameongezeka sana )
Wanawake punguzeni makali mnatuumiza wenzenu.