Hivi ke mmekuaje siku hizi mpaka tuna struggle sana kuwapata?! Mmelishwa nini.?.

Utakuwa hauna uwezo wa kuhudumia. Tafuta kazi, kuwa na makazi yako, kuwa na ratiba zako, wanawake utawakimbia wewe, namba zitajaa hadi utakuwa unatafuta wa kufuta.....
 
Pesa huna,hujui kuvaa,unaishi nyumban,demu huwez pata,..........tafuta pesa dogo
 
braza utakuwa unaelea kwenye dunia yako ya peke yako, unapata tabu kutongoza 2020?upo kisiwa gani huko pemba?
 
Back
Top Bottom