Wewe soma tuu mkuu, hayo mengine utayajua huko huko kazini.Wakuu,
Hivi hawa Maafisa huwa wapo kitengo kipi cha serikali?
Na wana madaraja yao?
Na hulipwa mshahara wa shillingi ngapi?
Majukumu yao ni yapi?
Na je kada hii ina fursa nzuri za kimalahi?
wapo tamisemi na serikali kuu pia wapo kwenye makampuni binafsi mkuu.Wakuu,
Hivi hawa Maafisa huwa wapo kitengo kipi cha serikali?
Na wana madaraja yao?
Na hulipwa mshahara wa shillingi ngapi?
Majukumu yao ni yapi?
Na je kada hii ina fursa nzuri za kimalahi?
Katika hilo zoezi la kuchavusha maua, yani wanapobeba polen kutoka kwenye ua moja hadi jingine huwa wanabeba zile sukari (sucrose) ambazo hizo ndio raw material ya kutengenezea asali...Nichumu Nibebike asante kwa darsa lako,sasa nyuki wanatengenezaje asali?
changamoto zao kuna za ujumla km mtumishi wa umma/taasisiconservative3 nashukuru!changamoto zao je?
Hapana mkuu... Nimesomea maswala ya biashara...Nichumu Nibebike umesomea maswala ya nyuki?
Hapana, ila ninachojua mishahara ya serikali inalipwa kutokana na ngazi zilizoainishwa na serikali... Ninadhani watu wa diploma wana ngazi zao na watu wa digrii au masters nao pia wana ngazi zao katika entry levels...Nichumu Nibebike then una cross sectral knowledge kubwa...unaijua mishahara,marupurupu ya hawa watu kwa serikali na private?
mkuu usifikirie malupulupu hasa kwa miaka kumi ya magufuli ikiwa ww una taka uajiriwe na serikaliNichumu Nibebike then una cross sectral knowledge kubwa...unaijua mishahara,marupurupu ya hawa watu kwa serikali na private?
ni mitazamo na mifumo inawezekana ukaona hata wanajeshi wako idle simply hawako vitani.ila kuna kazi zinaendeleaconservative3 ila naona serikalini kama wanafaidi sana,majukumu na most of the time wako idle...na watu wengi sidhani hata kama wanajua Maafisa Nyuki wanaexist katika mfumo wa Serikali!