Hivi kazi ya korodani ni nini?

flintsky

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
654
744
Habari kwa jina la bwana.

naomba kuuliza hivi kazi ya makorodani ni nini?

ninavyoelewa tezi dume sio korodani na tezi dume ndio hutengeneza manii.

je korodani zina kazi gani na mbona zinauma hivi kuliko hata jicho zikibonyezwa
 
habari kwa jina la bwana.

nnavyoelewa tezi dume sio korodani na tezi dume ndio hutengeneza manii.

Kwa kifupi tu; kazi kuu mbili za korodani ni kutengeneza mbegu za kiume (sperms) na homoni aina ya testerone.Kuna korodani mbili ambazo zimefunikwa kwa scrotal sac yaani ile ngozi unayoiona nje.

Manii ni mchanganyiko wa vitu vingi; mucus (kamasi), alkali, mbegu za kiume nk

Prostate glands (tezi dume) zipo ndani ya scrotal sac (pumbu) juu ya korodani.Kazi kubwa ya tezi dume ni kutengeneza kamasi (uji uji mzito wa manii) na alkali.

Alkali iliyomo ndani ya manii husaidia ku-neutralise hali ya kitindikali (acidity) iliyomo ndani ya uke.Hii husaidia mbegu za kiume (sperms) kuweza kuishi.
 
Kwa kifupi tu; kazi kuu mbili za korodani ni kutengeneza manii na homoni aina ya testerone.Kuna korodani mbili ambazo zimefunikwa kwa scrotal sac yaani ile ngozi unayoiona nje.

Prostate glands (tezi dume) zipo ndani ya scrotal sac (pumbu) juu ya korodani.Kazi kubwa ya tezi dume ni kutengeneza kamasi (uji uji mzito wa manii) na alkali.

Alkali iliyomo ndani ya manii husaidia ku-neutralise hali ya kitindikali (acidity) iliyomo ndani ya uke.Hii husaidia mbegu za kiume (sperms) kuweza kuishi.
nashkuru kwa ufafanuzi murua
 
habari kwa jina la bwana.

naomba kuuliza hivi kazi ya makorodani ni nini?

nnavyoelewa tezi dume sio korodani na tezi dume ndio hutengeneza manii.

je korodani zina kazi gani na mbona zinauma hivi kuliko hata jicho zikibonyezwa

Kwa taarifa yako tu; Nyuki dume akifika kileleni, korodani zake hupasuka na kisha hufariki dunia!!!!!!!.........

14641994_10154612944649339_2854456393210875426_n.jpg
 
Kazi yake ilikuhifadhi ww kabla ujaja duniani, ukiamini ww ulikuwa *BAO* utajua kazi yake
 
Habari kwa jina la bwana.

naomba kuuliza hivi kazi ya makorodani ni nini?

ninavyoelewa tezi dume sio korodani na tezi dume ndio hutengeneza manii.

je korodani zina kazi gani na mbona zinauma hivi kuliko hata jicho zikibonyezwa
Halina kazi yoyote chukua kiwembe likate
 
Back
Top Bottom