Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,098
Bwana Yesu asifiwe!!!!!
Napenda kuuliza tuu ktk kazi za wana Usalama wa Taifa,,,au Intelligensia,,,,,,je na Elimu ya ufalme wa giza inatumika???? Au ni Elimu tuu ya shuleni?????
Kwa mfano ktk Ulinzi wa viongozi wakuu wao huangalia sana macho yaa watu kama njia ya kumgundua mwalifu, wakati ujuzi huu pia unatumiwa sana na Wachawi ktk kumjua kuwa huyu ni ""Mlokole""" lakn pia hata sisi watu wa Mungu tunaweza kuwatambua Maagenti wa shetani kupitia macho.
Sasa hawa wa Usalama wa Taifa wanaweza kumtafuta MTU hata si maarufu na wala hajulikani sana na kumpata,,,,,,ni kweli tuu ya darasani au na Ushirikina upo?????
KARIBUNI