GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Habari zenu wana jamvi.
Naomba kuwaulizeni nimekuwa nikisikia kuwa kuna Watu hawa Wawili wanajiita Wachambuzi mahiri wa masuala ya Kijamii, Kiuchumi na Kisiasa nchini Tanzania ambao ni Chris Mauki na mwenzake Hassan Ngoma.
Japo sijawahi kuuthibitisha huo umahiri wao ila nimekuwa nikisikia tu Watu wakiwajadili sehemu mbalimbali hali iliyonipelekea leo kuwaulizeni je kati ya Chris Mauki na Hassan Ngoma ni nani ni Mchambuzi wa kweli na yupo vizuri Kwa kujenga hoja na ni nani anababaisha tu na hayuko vizuri Kihoja?
Kila siku nimekuwa nikiitumia JF kama Kioo changu cha kupata ukweli wa mambo kadha wa kadha hivyo atakayetajwa hapa kwa uwingi kuwa ndiyo mahiri basi na Mimi nitaamini na kuanza kumuheshimu na yule atayetajwa kwa uwingi kuwa wa hovyo hovyo basi nami ndiyo nitampuuza kimoja.
Karibuni na Kazi kwenu!