Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,496 Nov 4, 2024 #61 jkipaji said: Nami niliona,tena anatoa kama kauli ya serekali wadudu watoke wenyewe kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... Ile video inachekesha sana 😀
jkipaji said: Nami niliona,tena anatoa kama kauli ya serekali wadudu watoke wenyewe kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... Ile video inachekesha sana 😀
C Conquistador JF-Expert Member Joined Jun 10, 2024 Posts 1,435 Reaction score 3,499 Nov 4, 2024 #62 Class mate wangu UDSM Mbwembwe zake alianza zamani.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,957 Reaction score 26,115 Nov 4, 2024 #63 Kuna siku nimemuona yuko anafakamia viazi vya kuchemsha huko bunda.
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,107 Feb 11, 2025 #64 Kangi alikua Kisha Anza kulirekebisha jeshi la polisi. Angebaki Leo Polisi ingekua bora sana kiutendaji na kuacha kunyanyasa wananchi.
Kangi alikua Kisha Anza kulirekebisha jeshi la polisi. Angebaki Leo Polisi ingekua bora sana kiutendaji na kuacha kunyanyasa wananchi.
N njalas JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,384 Reaction score 1,714 Feb 12, 2025 #65 The Watchman said: Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri? View attachment 3142802 Click to expand... Mwehu yule
The Watchman said: Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri? View attachment 3142802 Click to expand... Mwehu yule
The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 2,186 Reaction score 4,939 Mar 24, 2025 Thread starter #66 Conquistador said: Class mate wangu UDSM Mbwembwe zake alianza zamani. Click to expand... Kumbe kitambo veta
Conquistador said: Class mate wangu UDSM Mbwembwe zake alianza zamani. Click to expand... Kumbe kitambo veta
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,490 Reaction score 13,857 Mar 24, 2025 #67 Percival said: Kangi alikua Kisha Anza kulirekebisha jeshi la polisi. Angebaki Leo Polisi ingekua bora sana kiutendaji na kuacha kunyanyasa wananchi. Click to expand... Kumbuka alitokea huko huko polisi
Percival said: Kangi alikua Kisha Anza kulirekebisha jeshi la polisi. Angebaki Leo Polisi ingekua bora sana kiutendaji na kuacha kunyanyasa wananchi. Click to expand... Kumbuka alitokea huko huko polisi
MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,059 Reaction score 2,982 Mar 24, 2025 #68 Yupo anakula matunda ya unafiki wake
Strong JF-Expert Member Joined Jun 9, 2013 Posts 575 Reaction score 551 Mar 25, 2025 #69 Yupo FM ACADEMIA WAZEE WA NGWASUMA