Manepesa JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 2,066 Reaction score 3,705 Nov 4, 2024 #41 Farolito said: Niliona video yake Fulani eti anawakemea wadudu wahame kwenye kahawa zake sijui korosho kabla hajawachukulia hatua,mwenye nayo aiweke hapa Eti anawapa muda wahame kwa hiari yao,sijui alikuwa kalewa yule Click to expand...
Farolito said: Niliona video yake Fulani eti anawakemea wadudu wahame kwenye kahawa zake sijui korosho kabla hajawachukulia hatua,mwenye nayo aiweke hapa Eti anawapa muda wahame kwa hiari yao,sijui alikuwa kalewa yule Click to expand...
Manepesa JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 2,066 Reaction score 3,705 Nov 4, 2024 #42 Von Bismarck said: Yupo 2025 anarudi Yupo vizuri sana Click to expand... Kwaio watu watarajie kuona mauno zaidi 2025
Von Bismarck said: Yupo 2025 anarudi Yupo vizuri sana Click to expand... Kwaio watu watarajie kuona mauno zaidi 2025
K kitowowoti JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 772 Reaction score 521 Nov 4, 2024 #43 Mtoto wa nzi said: Anakata mauno Kibara huko.... Click to expand... Kicheche
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,961 Nov 4, 2024 #44 Riskytaker said: nasikia sukari inamshambulia mixer B.P Click to expand... Ana shida hadi kwenye kope, anakopa hadi cement
Riskytaker said: nasikia sukari inamshambulia mixer B.P Click to expand... Ana shida hadi kwenye kope, anakopa hadi cement
nanjilinji JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 1,206 Reaction score 566 Nov 4, 2024 #45 Retired said: Takataka sijui yupo wapi! Click to expand... Dogo ulizaliwa na matusi. Punguza munkari
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 6,199 Reaction score 10,837 Nov 4, 2024 #46 Observer1 said: Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri? View attachment 3142802 Click to expand... hilo zee jinga liko hapo Bunda, liliwahi sema litavua ngua bungeni
Observer1 said: Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri? View attachment 3142802 Click to expand... hilo zee jinga liko hapo Bunda, liliwahi sema litavua ngua bungeni
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,957 Reaction score 9,431 Nov 4, 2024 #47 Farolito said: Niliona video yake Fulani eti anawakemea wadudu wahame kwenye kahawa zake sijui korosho kabla hajawachukulia hatua,mwenye nayo aiweke hapa Eti anawapa muda wahame kwa hiari yao,sijui alikuwa kalewa yule Click to expand... Nami niliona,tena anatoa kama kauli ya serekali wadudu watoke wenyewe kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa!!
Farolito said: Niliona video yake Fulani eti anawakemea wadudu wahame kwenye kahawa zake sijui korosho kabla hajawachukulia hatua,mwenye nayo aiweke hapa Eti anawapa muda wahame kwa hiari yao,sijui alikuwa kalewa yule Click to expand... Nami niliona,tena anatoa kama kauli ya serekali wadudu watoke wenyewe kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa!!
Madueke JF-Expert Member Joined Jul 5, 2023 Posts 327 Reaction score 395 Nov 4, 2024 #48 Observer1 said: Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri? View attachment 3142802 Click to expand... Namkubali hapo alipoelekezewa mkia na bidada nahajakwepa,,,,mhuni safi kabisa huyu
Observer1 said: Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri? View attachment 3142802 Click to expand... Namkubali hapo alipoelekezewa mkia na bidada nahajakwepa,,,,mhuni safi kabisa huyu
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,725 Reaction score 31,307 Nov 4, 2024 #49 Observer1 said: Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri? View attachment 3142802 Click to expand... Anavuta makokoro huko kibara. Anashushia na ka wimbo ka "Kitengule nalya ng'oko, amagambo nkolyo nkolyo"
Observer1 said: Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri? View attachment 3142802 Click to expand... Anavuta makokoro huko kibara. Anashushia na ka wimbo ka "Kitengule nalya ng'oko, amagambo nkolyo nkolyo"
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,474 Reaction score 45,048 Nov 4, 2024 #50 Anajipanga 2025 Urais CCM.
Von Bismarck JF-Expert Member Joined Jul 11, 2018 Posts 4,614 Reaction score 10,861 Nov 4, 2024 #51 pesakilakitu said: Kwaio watu watarajie kuona mauno zaidi 2025 Click to expand... Hakika Kwani mtu kuwa mbunge ndio asicheze roho mbaya za watu
pesakilakitu said: Kwaio watu watarajie kuona mauno zaidi 2025 Click to expand... Hakika Kwani mtu kuwa mbunge ndio asicheze roho mbaya za watu
M mipango99 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2022 Posts 647 Reaction score 946 Nov 4, 2024 #52 Muuize..mwijaku atakuwa ni kakake
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 16,320 Reaction score 23,023 Nov 4, 2024 #53 Cannabis said: Naona siku hizi ameng'oa bendera za Tanzania kwenye mifuko ya kaunda suti🐼View attachment 3142948 Click to expand... Nchi hii ilipita kipindi kigumu haswaa
Cannabis said: Naona siku hizi ameng'oa bendera za Tanzania kwenye mifuko ya kaunda suti🐼View attachment 3142948 Click to expand... Nchi hii ilipita kipindi kigumu haswaa
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 8,625 Reaction score 12,171 Nov 4, 2024 #54 Nakumbuka tu zile "drones " alizoagiza.
S SAIDWE JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,589 Reaction score 1,899 Nov 4, 2024 #55 Hahahahaha! Kangi Lugola!
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,793 Nov 4, 2024 #56 Cannabis said: Naona siku hizi ameng'oa bendera za Tanzania kwenye mifuko ya kaunda suti🐼View attachment 3142948 Click to expand... Huyu ndiye aliyekuwa Waziri?
Cannabis said: Naona siku hizi ameng'oa bendera za Tanzania kwenye mifuko ya kaunda suti🐼View attachment 3142948 Click to expand... Huyu ndiye aliyekuwa Waziri?
Just Pray JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 2,142 Reaction score 4,780 Nov 4, 2024 Thread starter #57 Azarel said: Huyu ndiye aliyekuwa Waziri? Click to expand... Alikuwa waziri wa mambo ya ndani
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 13,815 Reaction score 39,447 Nov 4, 2024 #58 Azarel said: Huyu ndiye aliyekuwa Waziri? Click to expand... Ndio yeye mheshimiwa mstaafu😆
LESIRIAMU JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 9,198 Reaction score 14,904 Nov 4, 2024 #59 Yuko pale Observer1 said: Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri? View attachment 3142802 Click to expand... Yuko pale Bunda kwenye baa yake ana piga mauno
Yuko pale Observer1 said: Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri? View attachment 3142802 Click to expand... Yuko pale Bunda kwenye baa yake ana piga mauno
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 22,138 Reaction score 32,716 Nov 4, 2024 #60 Lugola alipenda Sana komedi.