Hivi kama CCM wanajiamini kwanini wasuruhusu matokeo ya tar 25-10-15 yatangazwe Zanzbar?

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
1,298
Hili swali linapasua sana kichwa changu gt nisaidieni. Hawa CCM wasasemaga wanajiamini sana na kwao ushindi ni lazima,, sasa kwanini hawaruhusu matokeo yatangazwe na mshindi apatikane?
 
Ccm ni waoga zaidi ya kunguru, na ndiyo maana hawataki kubadili katiba ambayo itatupa tume huru ya uchaguzi. Bado pia wanatumia vyombo vya usalama kidhibiti wana mageuzi. Wanaogopa mabadiliko.
 
Hili swali linapasua sana kichwa changu gt nisaidieni. Hawa CCM wasasemaga wanajiamini sana na kwao ushindi ni lazima,, sasa kwanini hawaruhusu matokeo yatangazwe na mshindi apatikane?


Kwa CCM pamoja taasisi za serkali kama TISS wanajua mapema juu ya kushinda ama kushindwa kwao. Kwa hali hiyo na hawako tayari kuachia madaraka lazima wafanye wanachofanya sasa kwa sababu hata tume yenyewe ya uchaguzi bado si huru wanaicontrol
 
Do you use your brain or mucus?

Asante ningemjibu mimi angeona najitetea...hii ndo mifano ya watanzania wanaosababisha nchi imefika ilipofika mkuu...wakiambiwa kunyweni maji mtaro wanasema zidumu fikra za mwenyekiti
 
Sababu wameshindwa vibaya sana mpaka unguja kwenye ngome yao
Wakati wa kuhesabu kura za Zanzibar, Ccm walichota kura za wizi kwa uwingi sana wakajiaminisha mwisho wa kuhesabu wangekuwa wamewapiga bao Cuf. Baadya zoezi la kuhesabu wakagundua bado kuna short upande wao na hakukuwa tena na namna ya kupata pa kuchota tena. Njia pekee iliyobakia kwao ilikuwa ni kufuta uchaguzi.
Jecha anaonewa tu, si yeye aliyefuta uchaguzi. Jecha ni sawa na Lubuva tu hawa wamewekwa na Ccm kwa maslahi ya Ccm. Aliyefuta matokeo ni Ccm na siyo Jecha.
 
CCM zindukeni tanzania ya leo sio ile mliyoizoea
Sikio la kufa halisikii dawa kamwe! Miaka ya 1980 hadi 1999 ccm kilikuwa ukoo wa MALAIKA, ila baada ya kutoka ktk ukoo huo na kujiunga na ukoo wa 'yule mwovu' imekuwa ni balaaa!
 
Back
Top Bottom