Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,165
- 6,531
britanicca
Nataka nikatembelee hicho kisiwa. Kwani siruhusiwi 😂😂
Nataka nikatembelee hicho kisiwa. Kwani siruhusiwi 😂😂
Unakaribishwa kiingilio ni kutukana govtbritanicca
Nataka nikatembelee hicho kisiwa. Kwani siruhusiwi 😂😂
Labda twende wote 🤐🤐Unakaribishwa kiingilio ni kutukana govt
AhhhLabda twende wote 🤐🤐
Kwahiyo mwoo pekee ndo kabahatika kutoka!Tena awamu hii kana wafungwa wa kutosha kama vile
1. A ZORE
2. MWOO
3. SAA TISA
Kwahiyo mwoo pekee ndo kabahatika kutoka!Tena awamu hii kana wafungwa wa kutosha kama vile
1. A ZORE
2. MWOO
3. SAA TISA
panaitwa Mbudya mzee😊😊
sikuhizi panaingilika 24/7 vijana wanaenda shikana manyonyo kule
nitariudi, nipo na drive
Duh...tehtehtehtehteh...watu mna 'roho' ngumu...tehtehtehteh...Ila ushauri wangu kwa wengi ambao hawafahamu ni kuwa wote wale wanaoishi karibu na bahari wako katika mazingira hatarishi...Ndugu yangu unakumbuka kile kilichotokea kule Indonesia nadhani mwanzoni mwa miaka ya 2000 kutokana na tsunami?/ Bahari au mawimbi yake yalikuja kwa kasi zaidi ya futi 10 juu na kuua maelfu kwa maelfu ya watu...ikitokea hapa Dar walioko Kigamboni, masaki, msasani, Kawe, mikocheni, oysterbay, kunduchi, Bunju, city centre, kariakoo nk wataipatapata..tehtehtehtehtehteh
Mkuu, Tsunami inatokana na tetemeko la ardhi kwenye huo mkanda wake ulosambaa kutoka Bangladesh, India, Malaysia, Myanmar, Thailand, Sri Lanka na Maldives.
Sisi hatupo kwenye mkanda huo.
Nilmeweka kabisa kila kitu kwenye mapendekezo ya mradi wangu wa kisiwa hichi kuwa cha utalii mahali hapo.
Nasubiria majibu kutoka serikalini na wamekuwa wazito kwelikweli kurudi na majibu naona hawataki kupaachia mahali hapo.
Hakuna mpaka sasa aliyeweka habar ya kuaminika kuhusiana na hicho kisiwa
Bolivia na Puerto Rico wanasemaje?Wewe mwenye uhakika nayo mbona sasa hujatuwekea hapa na umebaki Kubwabwaja / Kuzoza tu?
Bolivia na Puerto Rico wanasemaje?
Siku zingine ukiwa huna uhakika na jambo au jina au eneo fulani ni vyema ukanyamaza tu kuliko Kuanika ' Utupu ' wako wa Kifikra mbele ya ' Great Thinkers ' hasa wa JamiiForums.
mbona umemaindi ivyo mzee baba?😁 mim nilikua namtoa nyoka pangoni ata sikua namaanisha kuwa Mbudya ndio icho kisiwa😊
Nyerere alitawala ktk mazingira magumu sana kumbuka alinusurika kuuawa mara kadhaa pia alinusurika kupinduliwa mara nyingi zaidi, ilibidi abuni mbinu ya kuzuia uasi ndipo akaja na hiyo ya kizuizini lakini awamu zilizofuata hawakuwa na hofu ya mapinduzi wala pressure za hatari ndiyo maana kizuizini ilikufaKuna ka kisiwa mita kadhaa kutoka kigamboni, kabla Jumbe hajapelekwa ANSUYA NAVAS kisota alianzia huko inasemekana,
Nauliza kaliendelea kutumika kuficha waarifu, wahujumun uchumi na watuhumiwa wa uhaini kama wakati wa Nyerere?
Je, watu wanaruhusiwa kufika pale? Au bado Kako chini ya jeshi?
Chatu bado wapo?
Mwenye majibu please
View attachment 901484
Britannica
Jawabu kapata kuwa utawala wa Nyerere ulikuwa ni utawala wenye changamoto nyingi kukilo tawala nyingi DunianiMleta mada unataka kuleta nini Jf?
Mwalimu Nyerere ikibidi abuni mbinu mbalimbali za kuzuia mambo ya hovyo kwenye utawala wake baada ya kugundua Rushwa kwenye mahakama pindi mtu mwenye uwezo au tajiri akifikishwa huko, alibuni kuzuini ili kupunguza Uasi na mapinduzi ambayo kipindi kile yalikuwa ni kama ushujaa barani Africa.Wajuzi wa mambo tunawangonja
OkayWewe mwenye uhakika nayo mbona sasa hujatuwekea hapa na umebaki Kubwabwaja / Kuzoza tu?