Bigmaaan JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 657 Reaction score 1,426 Wednesday at 3:37 PM #1 Naomba kuwa refreshed. Takribani kama miaka mi4 sijakanyaga kahama, je kwa sasa kuna viwanda gani vya maana vilivyopo katika wilaya ya Kahama?
Naomba kuwa refreshed. Takribani kama miaka mi4 sijakanyaga kahama, je kwa sasa kuna viwanda gani vya maana vilivyopo katika wilaya ya Kahama?
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,716 Reaction score 6,825 Wednesday at 3:59 PM #2 Viwanda vya mchele
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 5,242 Reaction score 13,123 Wednesday at 4:07 PM #3 Kahama hakuna viwanda vipya ulivyo viacja ndivyo hivyo hivyo nilikuwa huko mapema mwaka huu
Bigmaaan JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 657 Reaction score 1,426 Wednesday at 6:18 PM Thread starter #4 OMOYOGWANE said: Kahama hakuna viwanda vipya ulivyo viacja ndivyo hivyo hivyo nilikuwa huko mapema mwaka huu Click to expand... Ok Mkuu. Asante kwa Update
OMOYOGWANE said: Kahama hakuna viwanda vipya ulivyo viacja ndivyo hivyo hivyo nilikuwa huko mapema mwaka huu Click to expand... Ok Mkuu. Asante kwa Update
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,593 Reaction score 76,593 Wednesday at 6:40 PM #5 Nakazia Vipo Vingi Sana Mpaka Atavichoka Bemendazole said: Viwanda vya mchele Click to expand...
A Afcon kinanuka JF-Expert Member Joined Apr 5, 2026 Posts 1,458 Reaction score 3,763 Wednesday at 6:42 PM #6 Kulikuwa na viwanda vingi siku ya nyuma lakini alipoingia sa100 vyote ameviua.
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,792 Reaction score 23,280 Wednesday at 6:42 PM #7 Vya mbususu