Hivi kabila lina mchango katika kupata kazi?

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,721
Mfano mtu umehudhuria interview ukakutana na panel pale labda HR ni mhaya na wewe bahati mbaya ni mhaya. Hivi kunaweza kuwa na some sort of upendeleo ukapata ile kazi just kwa sababu ya hr kuwa kabila lako?

Nimeuliza hivo maana nna marafiki zangu wapo Kenya wanasema kama wewe ukienda kwenye interview ukakutana na panel member wa kabla lako kunakuwa kama na privilege fulani ya kupata kazi.

Sijui kwa Tanzania, inaweza kuapply kweli?
 
Wakuu hilo lipo...Mimi nina ushuhuda....jamaa yangu aliitwa kufanya usaili shule ya sekondari moja ya private iliyopo kijiji cha Mtae...wilaya ya Lushoto Tanga....mwenye shule wakati wa interview aliposoma cv na kuona jamaa ni muhaya....pale pale alitahamaki na kumwambia interview imeisha...
Baadae yule manager alikuja kuwa muwazi kwamba wahaya hawapendi hadi anakwenda kaburini...
 
[emoji121]
KUNA VITU VINGINE KUVIANDIKA KWENYE CV KWA BAADHI YA MAZINGIRA NI KUTOJIELEWA.

VITU KAMA KABILA, MKOA/WILAYA ULIPOZALIWA/DHEHEBU LA DINI
HAVINA ULAZIMA WA KUWEKWA KWENYE CV YA KUOMBEA KAZI,
VINAWEZA KUKUKOSESHA BAADHI YA FURSA.
 
Kuna mambo mengine hayafichiki...wengine unamjua kabila lake kwa jina lake....Mfano...Masawe...Chacha....Rweyemamu...Mapunda...Kahulananga....Abyalimana
 
Wakuu hilo lipo...Mimi nina ushuhuda....jamaa yangu aliitwa kufanya usaili shule ya sekondari moja ya private iliyopo kijiji cha Mtae...wilaya ya Lushoto Tanga....mwenye shule wakati wa interview aliposoma cv na kuona jamaa ni muhaya....pale pale alitahamaki na kumwambia interview imeisha...
Baadae yule manager alikuja kuwa muwazi kwamba wahaya hawapendi hadi anakwenda kaburini...
Inawezekana hicho kitu kipo pale mnapokutana makabila hasimu.
 
[emoji121]
KUNA VITU VINGINE KUVIANDIKA KWENYE CV KWA BAADHI YA MAZINGIRA NI KUTOJIELEWA.

VITU KAMA KABILA, MKOA/WILAYA ULIPOZALIWA/DHEHEBU LA DINI
HAVINA ULAZIMA WA KUWEKWA KWENYE CV YA KUOMBEA KAZI,
VINAWEZA KUKUKOSESHA BAADHI YA FURSA.
Watu wengine majina tu yanaonesha we mtu wa wapi, imagine mi naitwa Kashaija hapo kuna haja ya kuuliza kama mi ni muhaya?
 
Beji au vitambulisho vya wafanyakazi wengi wa CRDB ni Temu, Shoo, Masawe, Shirima, Mlaki, Mlayi, Mushi, Mbolo,
year hilo ndio kabila kubwa lililo-nona na lenye mapesa mengi.. hii kabila uki-graduate hapa hapa kazini hao wenye makabila madogo wapo kwenye mtihani mzito sana.. but pole pole watafika tuu.. CHAGGA the great
 
Kuna siku nimeenda ofisi ya ttcl mwanza, nlikua suprised ofisi yote ni wahaya tu, kuanzia boss hadi mfanya usafi.... Yani hadi wanaongea kilugha, so hilo linawezekana kabisa
 
Na ttcl wamejazana wahaya, si mchezo yani.. Na mimi nikishakuwa na wale watu ofisi moja napata aleji kabisa
 
Back
Top Bottom