McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Kwa sasa jimbo hilo halina Mbunge baada ya aliyekuwapo Dk Tulia Ackson kutangaza kugombea Jimbo jipya la Uyole katika uchaguzi mkuu ujao.
Mpaka sasa makada watano wa CCM, wametia nia kulitaka jimbo hilo wakiwa ni Nsomba, Mwandishi wa Habari, Charles Mwakipesile, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya na Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Dk Stephane Mwakajumilo, Ayoub Mwanjala na Dk Mabula Mahande.
Kuna siri gani katika jimbo hili?