Sidhani mkuu. Sio rahisi. Nakumbuka mstari wake.."amani kwa kaka Voda waambie wadogo wako waache poda wale mmea"salute sana, anayekubishia akasikilize ngoma inayoitwa STORI 3 KWA 1, "wakwanza ni ahmed, wengi walimwita medi/, mwite eddy kama unamhusudu na yeye ndo anavyohusudu,.......... mariam alikuwa ni mtoto aliyekuwa aliyekua na uzuri wa peke/, mm mwenyewe mmoja wapo kati ya waliotaka wajiweke/ ili anione mchumba wake,....... intro (INO alikuwa mtu ambaye usingeweza kudhani kwamba atakuja kutumia madawa ya kulevya....).japo siamini tetesi za jamaa kula sembe ila kama ni kwl mchopanga anakula ngada, basi atakua alijitabiria mwenyewe kwenye hyo verse ya INO,
Mkuu hio verse sio ya Jay Moe Moe Techniques... hio ni ya Langa Kileo Rest In Peace Braza.Sidhani mkuu. Sio rahisi. Nakumbuka mstari wake.."amani kwa kaka Voda waambie wadogo wako waache poda wale mmea"
Hapana man hiyo verse ni ya Jay More ambapo Langa (R.I.P) alijua kuwa mshikaji amemchana na yeye akamjibu Moe kwenye ngoma yake Bad Man.."amani kwa kaka Voda mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea".Mkuu hio verse sio ya Jay Moe Moe Techniques... hio ni ya Langa Kileo Rest In Peace Braza.
Well said mkuu.... Hapo tunaenda pamoja sasa.Hapana man hiyo verse ni ya Jay More ambapo Langa (R.I.P) alijua kuwa mshikaji amemchana na yeye akamjibu Moe kwenye ngoma yake Bad Man.."amani kwa kaka Voda mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea".
Baadae Langa baada ya kukiri kuwa Mteja na kutoka rehab alitoa ngoma Kifo Jela au Taasisi na humo ndani alichana mstari mmoja "...amani kwa kaka Voda mwambie Moe sili poda wala mmea". Sijui huyo kaka Voda ni nani ila inaelekea ni mchizi wao kitaani.
Mchopanga hana mambo ya ajabu weed anapga vzuri tu ila sembe no alikuwa na plan ya kutoa remix ya asanteni kwa kuja alitupia insta clip akifreestlyeMkuu tuombe isiwe hivyo maana ukishaanza hiyo midude kujinasua nayo inakuwa mtihani kweli.
Mkuu mo tech na yeye amekuwa stori 3?Huwa unashida naye maskani zao za uswazi??
Kama hili la J mo kuvuta unga linakustua hivi, siku ukiambiwa AY ni pusher si utakufa kabisa??
Punguza kukurupuka