Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Hivi huyu mtu yuko wapi, sukari ya warembo enzi hizo mziki haujabinafsishwa na Dimond na Ali Kiba. Daaaaahhh! Kitambo sanaaaa. Juma Mchopanga uko wapi, shabiki wako numero uno nimekumisi sanaaa. Flow yako ilikuwa baaaab kubwaaa.
Hawa watoto wanaweza wasielewe wewe nani kwenye fani, ila mimi mtu mzima mwenzio nakuelewa mpaka kesho. Wewe na mtu chee Juma Nature, Juma Kassim Kiroboto, na producer wetu P Funky Majaniiii. Namfollow mkewe Insta, mama la mama Kajala alibwaga manyanga.
THEM GOOD OLD DAYS
Weka picha yake tumuone.No namfollow MKE wa PFunk, Kajala si alikuwa Suria na mwenzie Munira. Mke wa Pfunk anaitwa Katrinaalegra. Ana matusiiii huyooooo. Balaaaa.
Nasikia ni bonge la mjengo tena lina security fence, anasukumiza land cruiser amazon.naishi na karibu anakaa mtaa wa pili tu hapo mbele tena ni nyumba yake mwenyewe alijenga
yuko hollandKuna jamaa kaning'ata sikio hapa kuwa jamaa naye siku hizi kawa teja.
sijui ni kweli, ngoja nifuatilie
Ila nnahisi aliposema majani alimaanisha P yeye anatumia ngadaAfadhari watumie majani kuliko sembe!
Nnasikia wewe ndiyo mwenye account ya dogimastaNo namfollow MKE wa PFunk, Kajala si alikuwa Suria na mwenzie Munira. Mke wa Pfunk anaitwa Katrinaalegra. Ana matusiiii huyooooo. Balaaaa.
Eti nasikia!! Watu wengine chafya kweli.Nasikia ni bonge la mjengo tena lina security fence, anasukumiza land cruiser amazon.
Nilimuelewa sana kwenye Ulimwengu Ndio Mama album. Huyo ni number one story teller katika bongo fleva. Hakuna anaweza kuga level zake.Jumanne Mohammed Mchopanga. Naishi naye jirani, Sinza hapa mitaa ya California. Ni mshikaji kinoma, hana makuu.
Kama upo Dar na ungependa kupiga nae story au kupata ka-dinner hivi pamoja, just holla me and I will hook you up with him. Yes I mean it.
Acha wivu wa kike wewe.Eti nasikia!! Watu wengine chafya kweli.
Ila ataweza vipi kuimba Rnb kama Staraaminata wa keita
ifm watakoma kw muda wot ambao anasom
Kumbe na wewe akanana unapenda hip hop.No namfollow MKE wa PFunk, Kajala si alikuwa Suria na mwenzie Munira. Mke wa Pfunk anaitwa Katrinaalegra. Ana matusiiii huyooooo. Balaaaa.
salute sana, anayekubishia akasikilize ngoma inayoitwa STORI 3 KWA 1, "wakwanza ni ahmed, wengi walimwita medi/, mwite eddy kama unamhusudu na yeye ndo anavyohusudu,.......... mariam alikuwa ni mtoto aliyekuwa aliyekua na uzuri wa peke/, mm mwenyewe mmoja wapo kati ya waliotaka wajiweke/ ili anione mchumba wake,....... intro (INO alikuwa mtu ambaye usingeweza kudhani kwamba atakuja kutumia madawa ya kulevya....).japo siamini tetesi za jamaa kula sembe ila kama ni kwl mchopanga anakula ngada, basi atakua alijitabiria mwenyewe kwenye hyo verse ya INO,Nilimuelewa sana kwenye Ulimwengu Ndio Mama album. Huyo ni number one story teller katika bongo fleva. Hakuna anaweza kuga level zake.