Hivi jamani EGM anasoma IT kweli?

Hivi jamani EGM anasoma IT kweli?

Ndio Mkuu mimi nina marafiki zangu watatu. Nilisoma nao advance EGM now wapo IFM wanasoma IT.
 
Kwa Kifu IT Haina Comb Maalum,ilimrad Uwe Na Upeo Na Akili,kuna Prof. Mmoja Nilimsikia Akisema IT ni Taaluma ya jamii nzima wala si kwa ajir ya watu fulan.
 
acheni kukariri, EGM n kombination nzuri sana, hasa kwa petroleum/mineral economy! Wataianzisha soon hiyo course pale UD na UDOM pia wako kwny final process
Akipata hiyo course akafanya vzr atakuwa ameula
 
kombi yoyote unaweza soma IT. ila kuna vyuo vingine huwa wanataka uwe angalau umefaulu vizur maths (baba mkwe)
 
Unasoma wapo ambao nilisoma nao IT IFM na walikuwa wamesoma EGM ila hesabu uwe umefaulu.
 
Kwa mtazamo wangu naona Physics ni muhimu hapa la sivyo ndio wale IT wa kubabia baada ya kufaulu course ya IT by chance.
 
Back
Top Bottom