M Mkodoleaji JF-Expert Member Joined Apr 27, 2008 Posts 458 Reaction score 138 Jan 29, 2011 #1 Hawa jamaa wa AU hivi wapo? Maana sijasikia wakisema chochote kuhusu Tunisia. Vile vile kuna machafuko Misri wako kimya. Hivi AU wana matatizo gani au wanasubiri mpaka waambiwe na UN au Marekani kwamba shughulikieni pale?
Hawa jamaa wa AU hivi wapo? Maana sijasikia wakisema chochote kuhusu Tunisia. Vile vile kuna machafuko Misri wako kimya. Hivi AU wana matatizo gani au wanasubiri mpaka waambiwe na UN au Marekani kwamba shughulikieni pale?