Hivi jamaa yuko usingizini au?

Alale wapi wakati anasikilzia uzito!!!!
 
Wallah hapa hata unichape au unishtue kwa shoti ya umeme........kamwe siwezi.
 
Huyu baby wenyewe sasa hii kavaa sijui bukta sijui under wear, yaani mtafaruku tu hapo.
 
Kha! Hujalala hadi saa hizo. Hebu kalale huko please utachelewa shule. Nataka niongee na wakubwa zaidi yako. Gnt Dear

hahaha ungea nao nikiwepo mpwa na mi nipate darsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…