Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
mkuu nime jaribu kutafuta Picha, ila sioni kabisa.Weka picha
Aisee 🤔Ila ivory Coast ipo
naona wame amua kubaki huko tu, ila soko wali liteka kiukweli.
Dabaga si Ile ya iringa??,Kabla ya red gold kulikuwa na Dabaga tomato sauce. It was the best.
Red gold naonaga flavour ni Ile Ile, miaka nenda Rudi,Kabla ya red gold kulikuwa na Dabaga tomato sauce. It was the best.
[emoji3][emoji3][emoji3] daaahIla ivory Coast ipo
Zimeadimika kama haya makreti ya soda ya mbaoNakumbuka kipindi Cha nyuma kulikuwa na hii bidhaa ya ivory tomato.
Siku hizi haionekani kabisa?? je wakuu wali iondoa sokoni, au Kuna sehemu Hawa isambazi?!.
Hii ilikuwa nzuri zaidi ya Ile red gold, kuanzia ladha na hata muonekano.
Na hata tangazo lake Lili fanyiwa na marehemu king majuto.
yaani ivory ilikuwa best Sana, hii red flavour ni Ile Ile, hakuna hata ku improve kabisaBora hata hiyo ilikuwa nzuri red gold taste mbaya natumia peptang now days
Nasema uongo ndugu yangu[emoji3][emoji3][emoji3] daaah