Si CANCER MBARUK alisimama kwa niaba yake ameishia wapi? kaweka pingamizi limegonga mwamba, kasema msajili wa vyama vya siasa atamsaidia ndio kwanza na msajili ameipongeza CHADEMA kwa uchaguzi uliokuwa tulivu, huru na wa haki.
zitto kawapiganie watanzania ukiwa Act usihofu watu wengi wapo nyuma yako
Wengi wenu BAVICHA na chaboys wala hamuelewi sababu ya ZZK kwenda mahakamani. Kwa taarifa yenu tu ni kwamba zzk hana mpango tena na SACCOS yenu ila anaona yeye hawezi akafukuzwa na watu aliowazidi akili na weledi kama YOUR TOO LOCAL CHAIRMAN AND MALE PROSTITUTE GENERAL SECRETARY.
Kilichompeleka mahakamani ni kusafisha jina lake then anajitoa akiwa safiiiii. Ila hii trick is too superior to bavicha to understand...
Zitto kiboko yenu mmemfukuza kwanza ndio mmepata mwanya wa kuteuwana.
zitto kawapiganie watanzania ukiwa Act usihofu watu wengi wapo nyuma yako
Haukua uchaguzi sema uteuzi mbona hamtaki ukweli nyie mambulula.
Kwa uelewa wako unadhani ZZK amekwenda mahakamani ili arejeshewe u naibu katibu mkuu? ZZK anapinga kufukuzwa bila utaratibu kufuatwa na ndio maana mahakama iliona ana hoja ya msingi ikaacha kesi yake iendelee.
CDM mnajifariji kuwa ZZK hawasumbui lakini hamuachi kumfatafata, anyway tulishawazoea kuwa kigeugeu, Dr.Slaa alisema David Kafulila ni sisimizi tu lakini leo ameteuliwa na CHADEMA kuwa waziri kivuli, CDM walisema CUF ni CCM B na wanasera ya ushoga lakini leo wote wako UKAWA! Hiyo ndio CHADEMA hakuna anayejua kesho watakuwa na nani?
hawez kufukuzwa? mbona kama wameshamfkuza tayar au nimekulew vbaya political prostitute?Wengi wenu BAVICHA na chaboys wala hamuelewi sababu ya ZZK kwenda mahakamani. Kwa taarifa yenu tu ni kwamba zzk hana mpango tena na SACCOS yenu ila anaona yeye hawezi akafukuzwa na watu aliowazidi akili na weledi kama YOUR TOO LOCAL CHAIRMAN AND MALE PROSTITUTE GENERAL SECRETARY.
Kilichompeleka mahakamani ni kusafisha jina lake then anajitoa akiwa safiiiii. Ila hii trick is too superior to bavicha to understand...
Wewe ni kisonoko usiojua ni nini unakiandika, ebu ringanisha uchaguzi huu katika hii habari hapa chini na huu wa CHADEMA halafu uniambie ni upi uteuzi na upi ni uchaguzi.
KIKWETE ASHINDA KWA KISHINDO UENYEKITI WA CCM TAIFA
Mwenyekiti mpya wa CCM, Rais Jakaya Kikwete
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani, Dk. Ali Mohamed Shein
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula
NA RICHARD MWAIKENDA Wajumbe waliopiga kura ni 2397, waliompigia kura Jakaya Kikwete ni 2395, wawili walipiga kura za hapana na hakuna kura zilizoharibika, hivyo Kikwete atakiongoza chama hicho kwa muda wa miaka mitano hadi 2017.
Msimamizi wa Uchaguzi huo, Spika Anne Makinda ametangaza matokeo ya uchaguzi huo, ambapo Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani, Dk. Ali Mohamed Shein ameshinda kwa asilimia mia kwa kupata kura zote zilizopigwa 2397 na Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara, Philip Mangula naye amepita na kushinda nafasi hiyo kwa kupata kura zote 2397.
Wajumbe 10 wa NEC waliofanikiwa kupenya kwenye uchaguzi huo Tanzania Bara ni Steven Wasra, 2135, January Makamba 2093, Mwigulu Mchemba 2012, Martine Shigella 1824, William Lukuvi 1805,Bernad Membe 1455, David Mathayo 1414, Willsom Mukama 1374, Jackson Msome 1207 na Fenella Mkangala..
Kwa upande wa Zanzibar wajumbe ni, Makame Mbarawa, Mohamed Seif Khatib, Yusufu Omary Mzee, Shamsi Vuai Nahodha, Samia Suluhu Hassan. na wengine.