Hivi itakuwaje Zitto akishinda kesi yake?

Du Bois ideas

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
427
Reaction score
83
Wana JF:,

Naomba ushauri wa kitaalam au Kisheria kuhusu Zitto. Kwakuwa leo katika chama cha CDM ndo mwisho wa uongozi wa awamu ya IV, na kuanzakwa awamu ya V ya Uongozi ndani ya chama hiki na zitto alikuwa mahakamanikupinga kuvuliwa uanachama na nafasi alizokuwa nazo Chamani, Jemahakama ikisema CDM walitumia makosa kumvua uanachama na uongozi kijana huyuitakuwaje?

Kwa nini mahakama haiatoa hukumu ya kesi yake kabla ya uchaguzi huu ili kama angeshinda angeruhusiwa kugombea na leo hiiangekuwa ananadi sera zake? Haoni kama tayari CDM wameshampiga chenga ya mwili, yeye anaendelea na kesi wenzake wanahitimisha uongozi na kuchagua mwingine.

Kweli chadema ni noma. Wanasheria nisaidieni itakuwajeatarudishiwa unaibu katibu mkuu wake? Kwa muono wangu usio wa kisheria ningemuomba afute kesi yake kwa maana kwenda kufundisha aende au kama anakwenda chama kingine aende la sivyo atakuwa layman ndani ya chama alichokuwa kiongozi mkubwa na kupewa heshima kubwa. CDM ya Tundu Lissu ni balaa iko kisheria zaidi. Kala kanzu huyo watuwanaenda kufunga bao yeye bado anahangaika na chenga.
 
Hii siyo fair mkuu Makamanda hatuna tabia za kishenzi kama hizi ni upumbavu mkubwa sana, unaweza kuniambia faida unayopata kwa kuzusha hili...???

BACK TANGANYIKA
Kamanda Respect Nakuheshimu sana ila kwa hili nisivyompenda huyo jamaa japo najua ni uongo ila hzio kidding dhidi yake sawa
 
Zitto kiboko yenu mmemfukuza kwanza ndio mmepata mwanya wa kuteuwana.
 
Si CANCER MBARUK alisimama kwa niaba yake ameishia wapi? kaweka pingamizi limegonga mwamba, kasema msajili wa vyama vya siasa atamsaidia ndio kwanza na msajili ameipongeza CHADEMA kwa uchaguzi uliokuwa tulivu, huru na wa haki.
 
Wana JF:,

Naomba ushauri wa kitaalam au Kisheria kuhusu Zitto. Kwakuwa leo katika chama cha CDM ndo mwisho wa uongozi wa awamu ya IV, na kuanzakwa awamu ya V ya Uongozi ndani ya chama hiki na zitto alikuwa mahakamanikupinga kuvuliwa uanachama na nafasi alizokuwa nazo Chamani, Jemahakama ikisema CDM walitumia makosa kumvua uanachama na uongozi kijana huyuitakuwaje?

Kwa nini mahakama haiatoa hukumu ya kesi yake kabla ya uchaguzi huu ili kama angeshinda angeruhusiwa kugombea na leo hiiangekuwa ananadi sera zake? Haoni kama tayari CDM wameshampiga chenga ya mwili, yeye anaendelea na kesi wenzake wanahitimisha uongozi na kuchagua mwingine.

Kweli chadema ni noma. Wanasheria nisaidieni itakuwajeatarudishiwa unaibu katibu mkuu wake? Kwa muono wangu usio wa kisheria ningemuomba afute kesi yake kwa maana kwenda kufundisha aende au kama anakwenda chama kingine aende la sivyo atakuwa layman ndani ya chama alichokuwa kiongozi mkubwa na kupewa heshima kubwa. CDM ya Tundu Lissu ni balaa iko kisheria zaidi. Kala kanzu huyo watuwanaenda kufunga bao yeye bado anahangaika na chenga.

Alikuwa Naibu Katibu Mkuu kwenye makaratasi lakini kiutendaji hakuwa mmoja wa viongozi. Anachopinga mahakamani ni kuvuliwa uanachama kama walivyofanyiwa Kitila na Mwigamba. Ndio maana anatambulika kama mbunge wa mahakama. Bado anamiezi 9 kabla hajaitangaza kadi yake namba 1 ya ACT.
 
kwa kuwa zito hakutaka kufuata ushauri wangu mimi gogo la shamba basi habari yake ndio imekwisha,akitaka kupata nafuu kidogo kwa sasa afute kesi na kama atakataa huu ushauri wangu wa mwisho basi atasahaulika kabisa kisiasa
 
Zitto hawezi kufuta kesi kwa kuwa ana tamaa ya madaraka, anajua akikosa ubunge hata kuwa na fursa kuhongwa na maCCM kupitia kwenye kamati yake ya paki.

Msaliti Zitto adhabu yake Ni kufungwa jiwe kubwa shingoni na kutupwa ziwa Tanganyika ili akawe chakula ya migebuka
 
Tulimshauri toka shtuma inaaza kuwa omba samahani na jishushe maaana ndani ya chadema wewe ndiye kiongozi ajaye,sasa huyu bwana inaonekana anatumika hivyo hasikii anataka vitu fasta fasta,sasa sijui but anakosa kuaminika kitu ambacho ni hitaji la kwanza kwa mwanasiasa
 
Zitto hawezi kufuta kesi kwa kuwa ana tamaa ya madaraka, anajua akikosa ubunge hata kuwa na fursa kuhongwa na maCCM kupitia kwenye kamati yake ya paki.

Msaliti Zitto adhabu yake Ni kufungwa jiwe kubwa shingoni na kutupwa ziwa Tanganyika ili akawe chakula ya migebuka
huo sio uungwana mambo ya kutoana huai hayafai na wala sio sera ya chadema,hapo umeingiza uccm
 
Wengi wenu BAVICHA na chaboys wala hamuelewi sababu ya ZZK kwenda mahakamani. Kwa taarifa yenu tu ni kwamba zzk hana mpango tena na SACCOS yenu ila anaona yeye hawezi akafukuzwa na watu aliowazidi akili na weledi kama YOUR TOO LOCAL CHAIRMAN AND MALE PROSTITUTE GENERAL SECRETARY.
Kilichompeleka mahakamani ni kusafisha jina lake then anajitoa akiwa safiiiii. Ila hii trick is too superior to bavicha to understand...
 
Wana JF:,

Naomba ushauri wa kitaalam au Kisheria kuhusu Zitto. Kwakuwa leo katika chama cha CDM ndo mwisho wa uongozi wa awamu ya IV, na kuanzakwa awamu ya V ya Uongozi ndani ya chama hiki na zitto alikuwa mahakamanikupinga kuvuliwa uanachama na nafasi alizokuwa nazo Chamani, Jemahakama ikisema CDM walitumia makosa kumvua uanachama na uongozi kijana huyuitakuwaje?

Kwa nini mahakama haiatoa hukumu ya kesi yake kabla ya uchaguzi huu ili kama angeshinda angeruhusiwa kugombea na leo hiiangekuwa ananadi sera zake? Haoni kama tayari CDM wameshampiga chenga ya mwili, yeye anaendelea na kesi wenzake wanahitimisha uongozi na kuchagua mwingine.

Kweli chadema ni noma. Wanasheria nisaidieni itakuwajeatarudishiwa unaibu katibu mkuu wake? Kwa muono wangu usio wa kisheria ningemuomba afute kesi yake kwa maana kwenda kufundisha aende au kama anakwenda chama kingine aende la sivyo atakuwa layman ndani ya chama alichokuwa kiongozi mkubwa na kupewa heshima kubwa. CDM ya Tundu Lissu ni balaa iko kisheria zaidi. Kala kanzu huyo watuwanaenda kufunga bao yeye bado anahangaika na chenga.

Kwa uelewa wako unadhani ZZK amekwenda mahakamani ili arejeshewe u naibu katibu mkuu? ZZK anapinga kufukuzwa bila utaratibu kufuatwa na ndio maana mahakama iliona ana hoja ya msingi ikaacha kesi yake iendelee.

CDM mnajifariji kuwa ZZK hawasumbui lakini hamuachi kumfatafata, anyway tulishawazoea kuwa kigeugeu, Dr.Slaa alisema David Kafulila ni sisimizi tu lakini leo ameteuliwa na CHADEMA kuwa waziri kivuli, CDM walisema CUF ni CCM B na wanasera ya ushoga lakini leo wote wako UKAWA! Hiyo ndio CHADEMA hakuna anayejua kesho watakuwa na nani?
 
Back
Top Bottom