Hivi itakuwaje mambo yakiwa hivi?

Hivi itakuwaje mambo yakiwa hivi?

ishobo

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
16
Reaction score
10
Ccm washinde uchahuzi tz bara, Zanzibar ichuuliwe na upinzani or vise versa. Serikali itaundwa vipi? Mawaziri wa yale mambo ambayo ni union matters watapatikanaje? NB. Katiba hairuhusu kuchanganya vyama katia kuunda serikali..na haiwezekani mawaziri wote wa jamhuri ya muungano watoke bara. Hapo vipi?
 
Back
Top Bottom