[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DJ waleteeeee, wakisindikizwa na Amapiano.
Woyooooooooooh
Awalete wajomba kutoka kigoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DJ waleteeeee, wakisindikizwa na Amapiano.
Woyooooooooooh
Haswaaaaah.Awalete wajomba kutoka kigoma
Huyo huyoCoca huyu huyu! Au mwingine!
Sawa mkuu
Mkuu yatasalimika mana mimi situmii huo mtandaoUkimpa nauli, Marinda yake yatasalimika? au yatakuwa kama ya cocastic
Shukrani angalau umetiliza hali ya hewa maana hali ishakuwa ya sintofahamuMkuu yatasalimika mana mimi situmii huo mtandao
Zinazokwenda Uganda.IT, Bukoba?labda zinazokwenda Rwanda , Burundi, au Drc, uteremkie njia panda ya kwenda biharamulo, kwa sasa nauli ni kama 50, 000 hivi, japo inategemea na bargaining power yako.
Japo ni chache sana!!!Zinazokwenda Uganda.
Sawa Mkuu!Una moyo mkubwa mkuu? Hivyo vishada huwa cheche sana njiani
Zamani ilikuwa pale kituo cha jengo la Tanesco ubungo sasa sijui bado pale au pengine, ngoja tusubiri wajuvi
Sawa kaka[emoji847]Nimekisoma hadi mwisho brother,kumbuka tu kua na notebook,maana kila page ina madini yake
"You will have Everything but Never Enough"