hizi Tamthilia za kina-Alehandro zinaharibu jamii......
Michepuko ina risk kubwa sana,,,,,, ila inafikia mahali watu huchoka na kuaamua kutulizana, sasa ikitokea mtulizano
hauzai furaha iliyotarajiwa ndiyo watu huanza tena kuendeleza michepuko.
Mwanaume ukiamua kuchepuka usichepuke kwa mwanamke mmoja , angalau wafike hata watano mpaka kumi hivi.